- Unapomuona daktari atachukua historia ya afya yako kwa ujumla
- Historia ya afya ya uzazi na mzunguko wako wa hedhi
- Historia ya dawa zote unazotumia
- Daktari atahitaji kukufanyia vipimo vya mwili ili kuangalia kama kuna kisababishi kinachochangia hedhi kutoka kwa wingi
- Daktari naweza chukua damu kupima wingi wako wa damu , kiwango chako cha homoni za uzazi pia na vipimo vingine kulingana na alivyokuona
- Datari anaweza kukufanyia ultrasound ili kungalia mji wa uzazi na via nyingine za uzazi kama kuna tatizo
Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu. Katika ukurasa huu tumejikita kutoa elimu juu ya afya ya uzazi inayomlenga zaidi msichana,mwanamke. Kuweza kutambua changamoto za afya ya uzazi na kuweza kuzitatua na kuelewa afya yake binafsi hata akiwa mbali na huduma za afya pamoja na mambo yote yanayomuhusu mwanamke.
Recent Posts
Alhamisi, 12 Desemba 2019
Nini hufanyika unapomuona daktari kuhusu tatizo la kupata hedhi kupita kiasi ?
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni