Kuchelewa kuona siku zako au kuzikosa hutokea kwa sababu mbalimbali tofauti na ujauzito.
Wanawake wengi huona siku zao baada ya siku 28. Ingawa mzunguko wa hedhi kawaida huweza kutumia siku 21 hadi siku 35.
Ikiwa hujapata hedhi katika kipindi hiki, zifuatazo huweza kuwa visababishi:
- Msongo wa mawazo
- Uzito mdogo au uliokithiri.
- Vidonge vya uzazi wa mpango.
- Magonjwa ya kudumu & ya muda mrefu.
- Magonjwa ya tezi ya thyroid
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni