- Hedhi nzito kupita kiasi huchangia wanawake wengi kupata upungufu wa damu
- Hedhi kuwa nzito kupita kiasi huweza kuwa ni dalili ambao unahitaji tiba ya haraka
- Huweza kuchangia kudhoofisha afya ya akili ya mwanamke ikiwemo kujiamini na wasiwasi
Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu. Katika ukurasa huu tumejikita kutoa elimu juu ya afya ya uzazi inayomlenga zaidi msichana,mwanamke. Kuweza kutambua changamoto za afya ya uzazi na kuweza kuzitatua na kuelewa afya yake binafsi hata akiwa mbali na huduma za afya pamoja na mambo yote yanayomuhusu mwanamke.
Recent Posts
Alhamisi, 12 Desemba 2019
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni