Je ni wakati gani mwanamke anatakiwa kuhisi kuwa anapata hedhi kupita kiasi?
- Unapata hedhi inayozidi siku 7
- Unapata hedhi nzito inayofanya ubadiri pedi moja ndani ya masaa mawili
- Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuvaa pedi zaidi ya moja
- Unapata hedhi nzito inayolowesha hadi nguo za nje
- Unapata hedhi nzito inayokulazimu kuamka usiku kubadiri pedi
- Hedhi inayotoka na mabonge
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni