Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu.
Katika ukurasa huu tumejikita kutoa elimu juu ya afya ya uzazi inayomlenga zaidi msichana,mwanamke. Kuweza kutambua changamoto za afya ya uzazi na kuweza kuzitatua na kuelewa afya yake binafsi hata akiwa mbali na huduma za afya pamoja na mambo yote yanayomuhusu mwanamke.
Recent Posts
Alhamisi, 17 Oktoba 2019
Female Afya+
Uvutaji sigara, vyakula tunavyokula na vinywaji tunavyokula hubadili rangi ya meno yetu meupe. Pia vile mtu anavyozeeka ndivyo rangi ya meno hufubaa. Bofya https://buff.ly/2FIswAX kujua siri 10 za kuwa na meno yanayong'aa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni