Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu.
Katika ukurasa huu tumejikita kutoa elimu juu ya afya ya uzazi inayomlenga zaidi msichana,mwanamke. Kuweza kutambua changamoto za afya ya uzazi na kuweza kuzitatua na kuelewa afya yake binafsi hata akiwa mbali na huduma za afya pamoja na mambo yote yanayomuhusu mwanamke.
Recent Posts
Alhamisi, 17 Oktoba 2019
Female Afya+
Kadiri mwanamke anavyofahamu mambo mengi zaidi kuhusu mimba yake tangu tu anapohisi kuwa mjamzito ndivyo alivyo na nafasi nzuri ya kufanikiwa kujifungua kwa usalama
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni