Jumanne, 17 Septemba 2019

UTANGULIZI

Afya ya uzazi ni suala ambalo ni muhimu katika jamii yoyote, lakini upatikanaji wa huduma hii hukabiliwa na changamoto mbalimbali na hivyo kuwaweka wasichana na wanawake katika mazingira magumu. Nchini Tanzania juhudi za serikali zinasaidia kulinda wasichana na wanawake katika kupata huduma muhimu za afya ya uzazi lakini pia mashirika yasiyo ya kiserikali yanaziba pengo ambalo linasalia.

Katika ukurasa huu tumejikita kutoa elimu juu ya afya ya uzazi inayomlenga zaidi msichana/mwanamke. Kuweza kutambua changamoto za afya ya uzazi na kuweza kuzitatua na kuelewa afya yake binafsi hata akiwa mbali na huduma za afya.
Image result for afya ya uzazi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni